Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Rudi kwenye kitufe cha Gundua

The Believing Man in Surah Ya-Sin

The Believing Man in Surah Ya-Sin
وجاء من اقصى المدينة رجل يسعى قال يا قوم اتبعوا المرسلين ٢٠
وَجَآءَ مِنْ أَقْصَا ٱلْمَدِينَةِ رَجُلٌۭ يَسْعَىٰ قَالَ يَـٰقَوْمِ ٱتَّبِعُواْ ٱلْمُرْسَلِينَ ٢٠

وَجَآءَ
مِنۡ
أَقۡصَا
ٱلۡمَدِينَةِ
رَجُلٞ
يَسۡعَىٰ
قَالَ
يَٰقَوۡمِ
ٱتَّبِعُواْ
ٱلۡمُرۡسَلِينَ
٢٠

Na akaja mtu mbio kutokea upande wa mbali wa mjini, akasema: Enyi watu wangu! Wafuateni hawa walio tumwa.
–Sura Ya-Sin [36:20]
اتبعوا من لا يسالكم اجرا وهم مهتدون ٢١ وما لي لا اعبد الذي فطرني واليه ترجعون ٢٢ ااتخذ من دونه الهة ان يردن الرحمان بضر لا تغن عني شفاعتهم شييا ولا ينقذون ٢٣ اني اذا لفي ضلال مبين ٢٤ اني امنت بربكم فاسمعون ٢٥
ٱتَّبِعُواْ مَن لَّا يَسْـَٔلُكُمْ أَجْرًۭا وَهُم مُّهْتَدُونَ ٢١ وَمَا لِىَ لَآ أَعْبُدُ ٱلَّذِى فَطَرَنِى وَإِلَيْهِ تُرْجَعُونَ ٢٢ ءَأَتَّخِذُ مِن دُونِهِۦٓ ءَالِهَةً إِن يُرِدْنِ ٱلرَّحْمَـٰنُ بِضُرٍّْ لَّا تُغْنِ عَنِّى شَفَـٰعَتُهُمْ شَيْـًۭٔا وَلَا يُنقِذُونِ ٢٣ إِنِّىٓ إِذًۭا لَّفِى ضَلَـٰلٍْ مُّبِينٍ ٢٤ إِنِّىٓ ءَامَنتُ بِرَبِّكُمْ فَٱسْمَعُونِ ٢٥

ٱتَّبِعُواْ
مَن
لَّا
يَسۡـَٔلُكُمۡ
أَجۡرٗا
وَهُم
مُّهۡتَدُونَ
٢١
وَمَا
لِيَ
لَآ
أَعۡبُدُ
ٱلَّذِي
فَطَرَنِي
وَإِلَيۡهِ
تُرۡجَعُونَ
٢٢
ءَأَتَّخِذُ
مِن
دُونِهِۦٓ
ءَالِهَةً
إِن
يُرِدۡنِ
ٱلرَّحۡمَٰنُ
بِضُرّٖ
لَّا
تُغۡنِ
عَنِّي
شَفَٰعَتُهُمۡ
شَيۡـٔٗا
وَلَا
يُنقِذُونِ
٢٣
إِنِّيٓ
إِذٗا
لَّفِي
ضَلَٰلٖ
مُّبِينٍ
٢٤
إِنِّيٓ
ءَامَنتُ
بِرَبِّكُمۡ
فَٱسۡمَعُونِ
٢٥

Wafuateni ambao hawakutakini ujira, hali ya kuwa wenyewe wameongoka. (21) NA KWA NINI nisimuabudu yule aliye niumba na kwake mtarejeshwa? (22) Je! Niishike miungu mingine badala yake? Arrahmani, Mwingi wa Rehema, akinitakia madhara uombezi wa hao hautanifaa kitu, wala hawataniokoa. (23) Basi hakika mimi hapo nitakuwa katika upotovu ulio dhaahiri. (24) Hakika mimi nimemuamini Mola wenu Mlezi, basi nisikilizeni! (25)
–Sura Ya-Sin [36:21-25]
قيل ادخل الجنة قال يا ليت قومي يعلمون ٢٦ بما غفر لي ربي وجعلني من المكرمين ٢٧
قِيلَ ٱدْخُلِ ٱلْجَنَّةَ ۖ قَالَ يَـٰلَيْتَ قَوْمِى يَعْلَمُونَ ٢٦ بِمَا غَفَرَ لِى رَبِّى وَجَعَلَنِى مِنَ ٱلْمُكْرَمِينَ ٢٧

قِيلَ
ٱدۡخُلِ
ٱلۡجَنَّةَۖ
قَالَ
يَٰلَيۡتَ
قَوۡمِي
يَعۡلَمُونَ
٢٦
بِمَا
غَفَرَ
لِي
رَبِّي
وَجَعَلَنِي
مِنَ
ٱلۡمُكۡرَمِينَ
٢٧

Akaambiwa: Ingia Peponi! Akasema: Laiti kuwa watu wangu wangeli jua (26) Jinsi Mola wangu Mlezi alivyo nisamehe, na akanifanya miongoni mwa walio hishimiwa. (27)
–Sura Ya-Sin [36:26-27]

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu

Ayatul Kursi

Yaseen

Al Mulk

Ar-Rahman

Al Waqi'ah

Al Kahf

Al Muzzammil

Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia